UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA
Kutokana na changamoto ya nyama ya kuku kwa walaji kuhitajika kwa wingi duniani kote ndipo wana biolojia walipo fikiri kutatua changamoto hii kwa kufanya tafiti mbalimbali zitakazoleta tija ya upatikanaji wa kuku kwa muda mfupi kuku hawa wa nyama huchukua takribani wiki nne katika ukuaji wake yaani mwezi mmoja na kuwa tayari kwa matumizi ya kitoweo.
HATUA ZA UFUGAJI WA KUKU HAWA
Kama ilivyo kwa vifaranga ambavyo hufugwa bila mama huhitaji chanzo cha joto huandaliwa sehemu maalumu ya kulelea vifaranga yenye mwanga wa kutosha na joto wiki kwanza nyuzi joto 35 hadi 30 wiki ya pili nyuzi joto 30 hadi28 siku kumi kabla hajaingiza vifaranga bandani fanya maandalizi ya banda
CHAKULA
Ufugaji wa KUKU wa nyama huhitaji kwa kiasi kikubwa ulishaji wa chakula chenye ubola kuanzia wiki ya kwanza hadi nne
a) BROILER CHICK STARTER wiki ya 1 hadi 2
Hiki chakula maalumu kwa vifaranga vya Kuku wa nyama hupewa kwa muda wa wiki mbili huwa na virutubisho vingi hasa kumfanya kifaranga kukua kwa kasi
b) GROWER wiki ya 3
Hupewa chakula cha ukuzaji wa maumbile yao
c) FINISHER
Iki ndicho chakula cha mwisho kupewa sasa kuku huwa tayari kwa kupelekwa sokoni kila kuku huwa na wastani wa KG 1 hadi 1.5
Endelea kufuatilia mfululizo wa makala za kilimo na ufugaji hapa AGRIPOA ENTERPRISE makala zijazo tutagusia pia katika matumizi sahihi ya madawa na kinga za kuku aina zote
SOMA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI BONYEZA CHINI
https://www.agripoaenterprises.co/2020/06/ufugaji-wa-kuku-wa-mayai.html

No comments