KILIMO CHA MBOGAMBOGA
Mbogamboga za majani ni moja kati ya matumizi muhimu katika mlo wa binadamu familia nyingi hutumia mboga za majani kama suluhisho lakujipatia baadhi ya virutubisho kutokana na uhitaji mkubwa kujipatia mbogamboga za majani sasa ni vyema kujua jinsi ya kuzalisha hata kama upo katika eneo dogo la makazi.
NJIA TATU ZA KUZALIZA MBOGAMBOGA ZA MAJANI KATIKA ENEO DOGO
a) KITALU SHAMBA
kwa kutumia eneo dogo sana la ardhi unaweza ukafanya uzalishaji wa kukidhi mahitaji yakoya mbogamboga za majani kwa mfano eneo linaweza likawa la mita tatu urefu na mita moja upana unaweza ukazalisha kama vile mchicha,matembele,mipilipili na kadhalika unapo hitaji kupamba mboga za majani kama vile mchicha katika kitalu shamba ni vyema kupanda mstatili ili upate urahisi katika kumwagilia.
b) MATUMIZI YA MIFUKO ILIYOTUMIKA
kwa kutumia mifuko iliyokwisha mfano viroba vya unga mifuko ya saruji unaweza kuzalisha mbogamboga za majani kama vile Spinach,Bamia,Nyanya chungu, Nyanya Maji na kadhalika.
c) MATUMIZI YA PLASTIKI
Unaweza tumia vifaa vya plastiki kupandia mbogamboga katika eneo dogo vifaa kama vile ndoo za mafuta zilizokwisha kutumika magumu ya maji yaliyokwisha kutumika.
MATUMIZI YA MBOLEA
Katika njia zote hizi za uzalishaji wa mbogamboga za majani zinahitaji matumizi ya mbolea ili kukidhi ukuaji wa ulichopanda kuwa chenye ubora andaa kitalu ama sehemu wa kupandia wiki moja kabla hujafanya uoteshaji changanya udongo na mbolea uchanganyike vizuri unaweza ukatumia mbolea za asili kama samadi.
UMWAGILIAJI
Maji ni muhimu sana kwa mmea hivyo huhitajika ni vyema kumwagilia mara mbili kwa siku asubui na jioni.

No comments