KILIMO BORA CHA KAROTI

Karoti ni moja ya zao la jamii ya mbogamboga lenye faida nyingi kwa walaji ikisemekana kuwa husaidia kwa wenye uono hafifu ya macho pia karoti ni mazao ya mizizi karoti zipo za rangi tatu MANJANO, RANGI YA MACHUNGWA  NA

KUTAARISHA SHAMBA

Shamba liandaliwa mapema kutoa vizuizi vyote vitokavyo sababisha kutokukua vizuri kwa karoti

UDONGO

Karoti inahitaji udongo wenye rutuba tifutifu ama kichanga wenye PH 5,6 hadi 7

UPANDAJI

Ukuaji wa Karoti huruhusu kukua katika eneo moja hivyo  hupandwa moja kwa moja kwenye shamba

MBOLEA

Ili kilimo cha karoti kiwe chenye tija unahitaji mbolea kuanzia kwenye utayarishaji wa shamba na ukuaji wake kiujumla mpaka mavuno samadi na mboji huvaa zaidi katika kilimo hiki cha karoti pia unaweza tumia mbolea  za viwandani kwa vipimo maalumu

MAJI

Umwagiliaji wa maji katika miche ya karoti ni muhimu sana asilimia 70 ya ukuaji wa karoti hutegemea maji ivyo ni muhimu kuzingatia umwagiliaji wa maji ya kutosha

UVUNAJI

Karoti huchukua muda wa kipindi cha miezi mitatu ndio huanza kuvunwa kupelekwa sokoni kwa matumizi mbalimbali.

CHANGAMOTO ZA KILIMO

Ukubwapo na changamoto  ni vyema kuwaona mabwana shamba ama kufika maduka ya pembejeo kwa utatuzi wa magojwa yatakayo kukumba kwenye uzalishaji wako


No comments

Powered by Blogger.