KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO

Pilipili hoho ni jamii ya pilipili zenye maumbo makubwa zisizo na ukali bali huwa na harufu nzuri pia ipo katika kundi la mbogamboga asili ya zao hili ni huko Amerika ya kusini.

AINA ZA PILIPILI HOHO 

Kuna aina kuu mbili za pilipili hoho zenye maumbo makubwa na zenye maumbo madogo hii hutokana hali ya hewa na aina ya ulimaji 

RANGI ZA PILIPILI HOHO 

Pilipili hoho zinalangi kuu tatu

a) RANGI YA KIJANI

Hizi huliwa zaidi Amerika nchi za Afrika Mashariki na kati 

b) RANGI YA MANJANO

Hizi huliwa zaidi Bala la Ulaya na  Bala Asia

c) RANGI NYEKUNDU
Hizi hulimwa zaidi Amerika na Baba la Asia kwa kiasi

HATUA ZA ULIMAJI ZAO HILI 

a) KUANDAA SHAMBA

Pilipili hoho huhitaji udongo  ulio andaliwa vizuri kwa ajili ya kufanyia kilimo hiki ivyo maandalizi ya shamba yafanyike mapema ili kuruhusu muda kati ya udogo na mbolea ya kwanza kuwa katika hali ya usawa.

b) MATUMIZI YA SAMADI

mbolea za asili zitokanazo na vinyesi vya mifugo vinamashiko sana katika kuboresha udongo kwa kiasi kikubwa tumia mbolea ya samadi katika kuongezea kwenye mche kila baada ya wiki tatu kwa matumizi ya mbolea za viwandani ni vyema kufuata matumizi  vya uwekaji mbolea.

c) UPANDAJI

Mbegu za pilipili hoho huandaliwa katika kitalu maalumu baada ya

d) UMWAGILIAJI

Pilipili  hoho katika hatua za ukuaji wake huwa haihitaji maji mengi  zikiwa kwenye kitalu kutokana na mbegu zake kuwa nyepesi na nikarudi kuharibiwa na maji kama yamezidi kwenye kitalu

e) PALIZI SHAMBANI

Baada ya miche ya pilipili hoho kuhamishia shamba kinahitajika liwe safi kwa kipindi chote ili kuruhusu ukuaji mzuri wenye matokeo chanya

MAVUNO

Pilipili hoho huanza kuvunwa kuanzia mwezi wa tatu tangu kuoteshwa kwake


No comments

Powered by Blogger.