KILIMO BORA CHA MAHINDI
Kilimo cha mahindi ni moja kati ya kilimo chenye tija kwa kiasi kikubwa katika upatikanaji wa zao hilo ambalo hutumika kama chakula kwa binadamu na mifugo
MAMBO YA MSINGI KATIKA ULIMAJI WA ZAO HILI
1)Uchaguzi wa eneo bora la ulimaji wa zao hili
Ili uweze pata tija katika uzalishaji wa zao hili yakupasa eneo sahihi katika uzalishaji
2)Uchaguzi wa mbegu bora
Kuna aina kuu mbili ya mbegu za mahindi zinazochukua muda mrefu na zlie zinazochukua muda mfupi kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi ni vyema kutumia mbegu za muda mfupi ambazo zimeboteshwa katika uzalishaji (mbegu chotara)
3)Matumizi sahihi ya mbolea
Mbolea ina kiasi kikubwa katika ukuaji wa wa mahindi kuna aina kuu mbili za mbolea
Mbolea ya asili inayotokana na vinyesi vya wanyama,ndege mabaki ya magome ya miti pamoja na nyasi.Mbolea namba mbili ni mbolea za viwandani ambazo hutumiwa katika ukuzaji wa mahindi kutokana na muda wayaliyofikia kwa kiwango maalumu cha uwekaji wa mbolea hizi za viwandani.
4)Upandaji
Mahindi hupandwa kwa mbegu mbili kwa kila shimo
5)Palizi
Mahindi ni vyema kuyafanyia palizi kuondolea maotea ya majani ambayo yapo shambani kwani husababisha kutokujua vizuri kwa mahindi.Palizi huanza baada ya mwezi mmoja baada ya kupanda
6)Uvunaji
Kilimo cha mahindi huchukua miezi mitatu hadi 4 kama utatumia mbegu ya muda mfupi (chotara) pia kama utatumia mbegu ambazo hazijaboreshwa huchukua miezi sita

No comments